Nimeona Madawa ya kulevya yanauzwa Tandika Sterio, Polisi fuatilieni

Nonsense

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kati ya biashara ngumu kuzikomesha kabisa duniani basi ni hii ya madawa ya kulevya na ukahaba.
 
Nimepita katika soko la Sterio pale karibu na Msikiti mkuu uliopo pale, nimekuta madawa ya kulevya yanauzwa na kutumiwa hadharani.

Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
Kungekua na mkutano wa CHADEMA wangekusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…