Mvalishe mtoto wako chupi bila nguo yoyote aende nayo shule kama hao wanaovaa nikab inakuuma sana.Kwani wanaovaa burqa hawavai chupi??
Akijibu huyo kafiri Yoda nijibuKwani wale wanovaa visketi vifupi wameruhusiwa na nani?
Kwanza hakuna uniform ya chupi shuleni kwao halafu kwa nini nimvalishe chupi bila nguo yoyote niuache mwili wake upigwe na baridi, upepo au michubuko wakati anacheza? Mbona unaandika kama kuku aliyekatwa kichwa akaachiliwa anaruka akitapatapa!Mvalishe mtoto wako chupi bila nguo yoyote aende nayo shule kama hao wanaovaa nikab inakuuma sana.
Sidhani kama burqa ni kinga dhidi ya pedophiles.Umetoka mkoa gani wewe umevamia mjini hapa, halafu hayo mambo ya kusema eti ni nani wa kumtamani mtoto wa kidato cha tatu, nasikia mnayaongeaga hv leo baada ya anko magumashi kuwaambia 30 itawahusu, tofauti na wakati hakuna sheria imara hadi shule ya msingi watu walipita nao, muache mtoto wa watu ajilinde kunavijana wa hovyo wengi sana hapa bongo.
Sasa wewe tatizo lako nini wao wakivaa hivyo? Inakuathiri vipi kwenye maisha yako binafsi? Huna kazi ya kufanya?Sidhani kama burqa ni kinga dhidi ya pedophiles.