Nimeona mwanafunzi wa sekondari kavaa burqa(ninja)

Kinachokuuma ni nini? Au ulitaka avae kimini na bichwa lote wazi ndio ufurahi!
 
Kinachokuuma ni nini? Au ulitaka avae kimini na bichwa lote wazi ndio ufurahi!
Kwani bichwa lote likiwa wazi kuna shida gani??
Kama wanafunzi wengi wakivaa hivyo walimu wao wanawatambuaje na wanawatofautishaje mmoja kwa mwingine??
 
Kwanza hakuna uniform ya chupi shuleni kwao halafu kwa nini nimvalishe chupi bila nguo yoyote niuache mwili wake upigwe na baridi, upepo au michubuko wakati anacheza? Mbona unaandika kama kuku aliyekatwa kichwa akaachiliwa anaruka akitapatapa!
Kama wewe hutaki kupangiwa mtoto wako kuvalishwa chupi peke yake bila nguo yoyote acha kuwapangia wazazi wanaowavalisha watoto wao nikab
 
ITR bila shaka huu uzi ulikukera sana😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…