U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,274 Reaction score 9,326 Oct 29, 2026 #1 Nimeona ni vema niwakumbushe ndugu zetu Wasabato Ndugu zangu Wasabato kwa mujibu wa biblia Mitume na Wanafunzi wa Yesu walikusanyika na kumega mkate na kutoa sadaka siku ya kwanza ya juma Matendo 20:7, 1 Wakorintho 16:2).
Nimeona ni vema niwakumbushe ndugu zetu Wasabato Ndugu zangu Wasabato kwa mujibu wa biblia Mitume na Wanafunzi wa Yesu walikusanyika na kumega mkate na kutoa sadaka siku ya kwanza ya juma Matendo 20:7, 1 Wakorintho 16:2).
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Oct 29, 2026 #2 Wasabato wanaamini fanya ufanyavyo ila kama huabudu siku ya jmos huendi mbinguni,jamaa wamejimilikisha mbingu.🚮
Wasabato wanaamini fanya ufanyavyo ila kama huabudu siku ya jmos huendi mbinguni,jamaa wamejimilikisha mbingu.🚮
thesis77 Member Joined Jan 11, 2021 Posts 13 Reaction score 43 Oct 29, 2026 #3 jiwe angavu said: Wasabato wanaamini fanya ufanyavyo ila kama huabudu siku ya jmos huendi mbinguni,jamaa wamejimilikisha mbingu.🚮 Click to expand... Hapana Bana, Injili yetu haipo hivyo. Kusema kua tumejimilikisha Mbingu ni Uzushi tu.
jiwe angavu said: Wasabato wanaamini fanya ufanyavyo ila kama huabudu siku ya jmos huendi mbinguni,jamaa wamejimilikisha mbingu.🚮 Click to expand... Hapana Bana, Injili yetu haipo hivyo. Kusema kua tumejimilikisha Mbingu ni Uzushi tu.