Nimeoneshwa video za utupu za mpenzi wangu mpya..!!

Mnakihunisha kiswahili hadi inakuwa sio burudani inaanza kuwa kero sasa dinglii
 
Andika vizuri Basi, maana huo ni uandishi wa kihuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temana na samberaaaa mjuba, usije kataa uliga mapema babaaakoooo!!!!
Huyo manzi ni ngori.

☆E pluribus unum☆
 
Na sisi ndo tuoneshe tuone km kwel huo uchi anao unaosema ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieelewa anisaidie

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Wewe anza kumtupia picha za vichwa vya watu, wachawi na maiti zilizooza ataogopa nakuacha tabia yake. Lakini pia hizo picha anazokutumia anatumiwa na Mme mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…