hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Nikiwa nimekaa mchana wa jana nikapitiwa na usingizi ghafla nikaota zitatolewa/zitatangazwa ajira mpya zisizopungua elfu 30 na zisizozidi elfu 32 mwezi wa kumi mwaka huu.
Mulemule ndotoni nikawa nina shaka na eti nikathibitishiwa kuwa ni kweli tena itakuwa tarehe 29 tena siku ya Ijumaa sasa kuamka nikakimbilia kucheki kalenda nakuta kweli itakuwa Ijumaa.
Kuhusu ajira hizo sijaelewa ni za jumla au ni sekta gani ila ninavyowaza nahisi itakuwa za walimu. Huwa naota ndoto nyingi ambazo kama ningekuwa mtu wa kukomalia kufuatilia ndoto basi ningejipa taabu sana maana baadhi yake huwa zina appear kama nilivyoota
Sihitaji kutafsiriwa ndoto hii wala mimi si muumini wa kina Sheikh Yahaya bali nilichofanya nimeshare tu ndoto yangu!