Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa yule Sakho simba tuliibiwa
Sajiri vijana,okwi anatofauti gani na boko?Na iwe kweli akaongeze nguvu safu ya ushambuliaji.
Okwi ataingia moja kwa moja kwenye falsafa ya Simba kwasababu anaijua pia keshacheza ligi ya bongo.
Usiku wa kuamkia leo, nimepata njozi ya Emmanuel Okwi "Emosting" kutua Simba dirisha dogo la usajili! Sijui hii ndoto ina maana gani?
aongezwe kwenye jopo la waganga wa timu.Huyu mstahafu tumpeleke wapi?
Huyu jamaa kaenda timu gani?.Naiona kabisa no ya chikwende pale sijui kwann wamemtoa kwa mkopo.
Wewe na Mme au Mke.Usiku wa kuamkia leo, nimepata njozi ya Emmanuel Okwi "Emosting" kutua Simba dirisha dogo la usajili! Sijui hii ndoto ina maana gani?