Man U haina lolote zaidi ya media promo
Mambo ya haramu [emoji33]Ingawa wewe ni mnazi mkubwa wa CCM hata katika mambo ya haram hapa leo nakusifu!
Wew vp chelsea sio man u kesho muda huu utakuja nisimulia nin kimetokea, sometimes football goes with lucky, the luckiest wins and not the best.Halafu EPL waliingiza timu tano zote round of 16 halafu tatu zote zinatolewa zinaenda mbili tu quarter finals...of course I assume Chelsea are mathematically eliminated!
Tupo kwenye mambo ya ndototupo kwenye mambo ya mpira na sio siasa.