Anayekupumulia mgongoni na jasho jingi ndio ana maisha magumu mana ni laana kumpanda shogaAtakaye reply hii thread yako Mungu ampe maisha magumu maisha yake yote.
Kajivalisha pete makusudi ili ujae kwenye mfumo, mwanamke anaeitaka sana ndoa na anakuonesha live ni hatari.Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati. Niliwahi kumuuliza akasema amejivisha baada ya kuona mimi sitaki kumvalisha. Eti afanye nini sasa.
Ulitakaaaa avishwe gololiiWadau. Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji. Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya uchumba muda wote? Anamlingishia nani? Nikacheka. Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati. Niliwahi kumuuliza akasema amejivisha baada ya kuona mimi sitaki kumvalisha. Eti afanye nini sasa.
Watafsiri wa ndoto. Hii ina maana gani.
Duuuh. Sikuwahi kujua kama kuna binadamu anaweza kutoa laana. Sala yako ikashindwe kwa Jina la Yesu ♥️Atakaye reply hii thread yako Mungu ampe maisha magumu maisha yake yote.
Una maana ganiUlitakaaaa avishwe gololii
Endelee kuchezeaaa wenzenu wanarushia mzigo ndoton
Una maana gani mkuuTayari
Ahsante sana mkuuKajivalisha pete makusudi ili ujae kwenye mfumo, mwanamke anaeitaka sana ndoa na anakuonesha live ni hatari.
kureply tayari laana imekupata.Anayekupumulia mgongoni na jasho jingi ndio ana maisha magumu mana ni laana kumpanda shoga
Punguza wenge hio wanavaaga tu km urembo ingawa sio vizuri pia kuvaa pete dole la kati unakua umefunga Ndoa na ShetaniHalafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati.