KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto ikakata . Bado natafakari lakini ni ndoto tu.