Nimeota naongea na yesu. Amenipa mikakati yake

Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.

Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Uza kila kitu ulichonacho utoroke hiyo sehemu unayoishi.Karibia utaanza kuokota makopo na kwenda kuyauza.
NB;Alisema hata yeye haijui hiyo siku ya mwisho ingawa alisisitiza mkeshe na kuomba huku taa zenu zikiwa na mafuta ya kutosha kumpokea bwana harusi.
 
Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.

Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Mwambie Nina shida nae sana!

Anipe Raha nafsini!

Kwani, Pendo lake ni la ajabu, kukubali Kuutoa uhai wake kwa ajili yangu? Nani qnaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…