Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba tafsiri ya hii Ndoto

asante sana.Mungu Ataniwezesha kwa Hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paka = roho ya uchawi na si mchawi ni mpaka itakapomwingia mtu. Na gari = na huduma yako unayofanya au utakayofanya, unatakiwa uchukue hatua kwa uharibifu wa maisha yako wameyaseti bado utekelezaji tu. Kwa kifupi sana ni hivyo nijuavyo mm.
Sawa Ndugu Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asnte Sana Ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana Ndugu Mungu akabariki sana nimekuelewa vema kabisa.Asante Sana kwa Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana
 
asante sana Ndugu ubarikiwe Sana Nimekupata vema.Nitazidi kufanyia Kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante ndugu,ila sijihusishi kabisa na Mambo ya Hiza au kishirikina.Huwa Nakua Mtu wa Maombi SaNa labda ndio inapelekea kuwindwa na hawa Watu Waovu.asante kwa majibu
Tafsiri yake ni hivi paka mweusi ni nguvu za kichawi zinakufuatilia kwenye mambo yako

LA pili kuota uko na mliosoma nao zamani ni kuwa Tabia zako mbaya za zamani mbaya zimeanza kukurudia yaani MTU Wa kale kaanza kurudi.
 
Tafsiri yake ni hivi paka mweusi ni nguvu za kichawi zinakufuatilia kwenye mambo yako

LA pili kuota uko na mliosoma nao zamani ni kuwa Tabia zako mbaya za zamani mbaya zimeanza kukurudia yaani MTU Wa kale kaanza kurudi.
ASAnte Sana Ndugu Yangu.
 
usiumize kichwa na ndoto, utakuwa unaunia kichwa bils sababu, we just zipuuze tu nyingi ni matokeo ya vitu tunsvyofikiria na tunavyoons mchana, na si lazima viwe na maana kama tunayoambiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…