Nimeota ndoto isiyopendeza kwa nchi yangu

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.
  1. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
  2. Tukio la shambulizi la kigaidi
  3. Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
  4. Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
 
Pole sanaa mkuu, ila sidhani nchi yetu ina ulizi dhabiti haiwezi kushambilia na kwa lipi? Jikita kwenye changamoto za familia yako.
 
Aisee! Hongera kwa Maono, lakini itatokea ktk 4th dimension na vishindo tutaviskia mpaka huku. hivyo Ondoa shaka Mkuu, kuwa na Amani Ulimwengu una mambo Mengi
 
Vikundi vya kigaidi havina uwezo wa kujitegemea. Wanakuwa sponsored na kwa lengo maalumu lenye advantages na faida kwa sponsors.

Tanzania hakuna chochote chenye faida ya kutisha.
 
Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.

  1. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
  2. Tukio la shambulizi la kigaidi
  3. Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
  4. Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.

Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
Yule mgombea wa 2025 aliyefifia ghafla na timu yake anasemaje
 
  1. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
  2. Tukio la shambulizi la kigaidi
  3. Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
  4. Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Punguza kuweka akilini masuala kama hayo ndio maana ukiwa umelela yanarejea kupitia ndoto.
 
Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.

  1. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
  2. Tukio la shambulizi la kigaidi
  3. Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
  4. Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.

Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
Una nchi wewe?
 
Unaiwaza nchi sana kuliko familia mkuu. Tena Unapowaza Unaiwazia mabaya.

Ndoto ni marudio ya mawazo uliyoyawaza sana.

Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi” (Mhubiri 5:3)
 
Wiki 2 zilizopita pia niliota ndoto ya kuogofya sana.

Mwenyezi Mungu alisimamie TAIFA letu na viongozi wake.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.

Tuombe sana yasijirudie ya mwaka 2021.
 
Mkuu umewezaje kujua kuwa hiyo ndoto inahusu nchi na si inakuhusu wewe mwenyewe?
 
Unaiwaza nchi sana kuliko familia mkuu. Tena Unapowaza Unaiwazia mabaya.

Ndoto ni marudio ya mawazo uliyoyawaza sana.

Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi” (Mhubiri 5:3)
Mh vp ndoto za kumuota mtu ambaye haujawasiana nae kwa muda mrefu na wala haujamuwazia ila unashangaa umemuota au unamuota mtu ambaye hauna story nae kabisa?
 
Back
Top Bottom