Pole sanaa mkuu, ila sidhani nchi yetu ina ulizi dhabiti haiwezi kushambilia na kwa lipi? Jikita kwenye changamoto za familia yako.Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.
- Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
- Tukio la shambulizi la kigaidi
- Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
- Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
Yule mgombea wa 2025 aliyefifia ghafla na timu yake anasemajeNdoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.
- Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
- Tukio la shambulizi la kigaidi
- Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
- Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
Punguza kuweka akilini masuala kama hayo ndio maana ukiwa umelela yanarejea kupitia ndoto.
- Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
- Tukio la shambulizi la kigaidi
- Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
- Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Una nchi wewe?Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024.
- Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani
- Tukio la shambulizi la kigaidi
- Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana
- Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto inarudi.
Tusiache kuiombea Tanzania kwa sababu hakuna nchi kama hii duniani na ndiyo nyumbani kwetu.
Mh vp ndoto za kumuota mtu ambaye haujawasiana nae kwa muda mrefu na wala haujamuwazia ila unashangaa umemuota au unamuota mtu ambaye hauna story nae kabisa?Unaiwaza nchi sana kuliko familia mkuu. Tena Unapowaza Unaiwazia mabaya.
Ndoto ni marudio ya mawazo uliyoyawaza sana.
Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi” (Mhubiri 5:3)