Nimeota ndoto moja

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
3,504
Reaction score
1,342
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
 
Mkuu uko superstitious wewe... hata paka wako anajieleza...

Ramadhani njema....
 
2takulilia cku c nyng...jiandae pls
 
Ooh! Maskini, ni wewe. Tutakukosa jamani!
 
Angalia herufi ya ID yako ni ya ngapi kama siyo ya pili? Wewe ndo utakufa na utabiri wa ndoto yako hauna tofauti na marehemu mlinzi wa JK!
 
in the name of the living od, I declare life and not death! say Amen!
 
vita vilipiganwa toka enzi hizo mtakatifu! btn, vita vyetu sisi sio juu ya damu na nyama, bali ni juu ya nguvu na mamlaka, juu ya falme za giza, sijui kama umenisoma...

nasita kusema amen kutokana na io avator yako
 
Hivi kufa ni kwa kutomrudia Muumba pekee..................wakati mwingine kifo ni lengo la Muumba kukunusuru na dhambi......................mkumbuke Enock...................Mwenyezi Mungu alimchukua mzima mzima na kumpeleka Mbinguni na kumwepusha na mauti ili kwa sababu aliona amezungukwa na jamii ya waovu ambao wangeweza kumdhuru kimwili na kiroho.......................huu utabiri wako ni vigumu kuuthibitisha hadi hapo utakapotupa jina la mhusika na tarehe husika kwa ufuatiliaji............vinginevyo utakuwa unavizia lolote lile na baadaye kujimilikisha kuwa sasa umekuwa mnajimu.............
 
ushindwe katika jina la Yesu,nakemea pepo la mauti
 
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
Mkuu Black nadhani ingekua vyema endapo maudhui ya hii thread ungei'change katika kuwasisitiza Member juu ya umuhimu wa ibada na kumrudia Mungu!
 
Kweli mkubwa! Nakuunga mkono ktk hoja hii, jamaa kama sheikh yahya vile duh!
 
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
<br />
<br />
Mkuu, kunaa kiimani fulani huwa wanasema kwamba ukimuota mtu kafa basi siku zake za kuishi ndo zinaongezeka, na ukiota msiba basi ujue kuna harusi!! Naomba moja kati ya haya au yote mawili yatokee.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…