Nimeota ndoto moja

...dahh, ungeipost hii kule juu kwenye jukwaa la Siasa bana, huku unatuletea Nuksi kwa sie wenye matumaini ya maisha.
Dahh,

Mbu umeona eehh angeenda kule amtabirie mwanasiasa mmoja mkubwa kufa hapo ingekuwa bomba ila kwenye MM unaleta biashara ya kufa ni nuksi tupu
 
Reactions: Mbu
mimi naona ni ndoto nzuri tu .. sijui kwa nini siogopi kufa.. i wish angeota kuwa mimi ndio nimesogea

SI acha kutuzuga hapa ukikaribia wewe hata herufi za jina lako ukiambiwa ziko karibu nafikiri utamhonga Israeli mtoa roho asogeze sogeze mwisho mwisho kule
 
SI acha kutuzuga hapa ukikaribia wewe hata herufi za jina lako ukiambiwa ziko karibu nafikiri utamhonga Israeli mtoa roho asogeze sogeze mwisho mwisho kule
sitaki waanze na herufi kwani jina la mtu ninayemzimikia sana linaanza na "A"(angalia signature yangu)...bora Israel aanzie na 'Z' itakuwa imekula kwa zumbe mkuu
 
SI acha kutuzuga hapa ukikaribia wewe hata herufi za jina lako ukiambiwa ziko karibu nafikiri utamhonga Israeli mtoa roho asogeze sogeze mwisho mwisho kule

hhaa hha, kukata rufaa ya kifo!...
 
sitaki waanze na herufi kwani jina la mtu ninayemzimikia sana linaanza na "A"(angalia signature yangu)...bora Israel aanzie na 'Z' itakuwa imekula kwa zumbe mkuu

Sasa Israel Mtoa roho anapick randomly angalia tuu isiangukie kwa SI hapo atakuwa amekuwahisha sana
 
hhaa hha, kukata rufaa ya kifo!...

Mkuu namtafuta sana huyo malaika anayetick kwamba huyu ndo anafuata yaani ningempata ingekuwa bomba sana
Mhh Mbu avatar yako mbona umebadilisha tena
 
Sasa Israel Mtoa roho anapick randomly angalia tuu isiangukie kwa SI hapo atakuwa amekuwahisha sana
dah!!! hii itakuwa hatari kweli kweli .. mimi naomba aanzie huko dodoma kwa wanaokula neshno cake
 
dah!!! hii itakuwa hatari kweli kweli .. mimi naomba aanzie huko dodoma kwa wanaokula neshno cake

Kabisa kabisa mkuu hao wawe wa kwanza na then wengine wafuate maana wale wameshiba mpaka wamevimbiwa
 
Popoooo!kudanji ni kawaida bwana popo,kwan Mungu akumbukwe wakat wa kudanji tu?
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
<br />
<br />
 
Kaka uwe specific dodoma sehemu gani?...nasi tunaomba arudi huko huko dsm kwa wazee wa kujirusha hasa huko sinza..
nimesema kwa wazee wanaokula neshno cake.....hujui maana yake?dsm wana popo bawa tayari...au chagua israel au popobawa?
 
n bora kutangulia kuliko kusubiria bomu linalokuja kulipuka tanzania hii mda c mrefu!!!
PEOPLE's ................... POWER!!!
 
<br />
<br />
yani umenikumbusha mbali sana mchaga mmoja pia alienda kujinyonga alipo kumbuka kuna deni alielekea kwa mdeni wake sijui nini kilitokea .
 
nimesema kwa wazee wanaokula neshno cake.....hujui maana yake?dsm wana popo bawa tayari...au chagua israel au popobawa?
nimekuelewa ila hatutaki misiba hapa dom..mipango yoote walishapangia huko dsm..na woote ni wakaazi wa huko..hapa wameleta kaugonjwa tu..hima tunawarudisha huko huko pamoja na huyo popobawa wao..
 
Kule songea inazungushiwa kwenye uume then inaanza shughuli, raha yake ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…