Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Katika kufunga Kuna faida zake

Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili

Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka

Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea kukupenda na kukushika na kujua thamani yako siku hata siku

Hivyo tusife moyo wala usife moyo mtumish

Katika faida za kufunga mara kwa mara BWANA huniinulia maono ya kila namna mazuri kwa mabaya lakin yote ni maono

Mengine ya watu ninaojuana nao,mengine ya jamii furani mengine ya watu fulani

Kuna ndoto imekuwa ikinitesa sana siku nyingi nayo ni maono ambayo BWANA alinifunulia

Nilimuona papa Francisco wa Roma akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na hapo kwenye kiti chake palikuwa na ROHO wa paka ambaye alikuwa amekaa juu Papa Francis

Paka huyo alionekana kufanya utawala mkubwa katika kiti hicho na kuchukua nafasi kubwa kuliko hata papa mwenyewe, nilishangaa sana

Ni maono niliyoyaona Mimi mtumish nikiwa nimefunga katika ekarist takatifu

Ngoja tuendelee kumungoja BWANA tuone atafanyia nini zaidi

Ikumbukwe Mimi pia ni mkatoliki

Asante sana

SAYUNI BOY
 
Kwani paka sio kiumbe cha Mungu? Ukiona roho ya paka ndiyo nini sasa? Kwani kuna ubaya gani, kama kweli zipo ikiwezekana kuona roho ya sungura, kuku, ng'ombe, mbuzi nk. Ubaya uko wapi? Au ulikuwa unawaza sana kuhusu paka ndiyo maana ukaota 😀
 
Sidhani kama hapa uliposhirikisha ni sahihi , maana wengi wetu imani zimetuvunja moyo mmo , hatuna tena namna ya kuzitetea zaidi ya kuziponda na kuzi kandia.

Zaidi ungerudi katika tafari mbele ha ekaristi takatifu huwenda ukapata majibu, lakini jua pia utawala wa upapa ni zaidi tu ujuavyo na kuudhania heri kuliombea taifa na familia yako kuliko utawala wa upapa.
 
Zinazungumzwa habari za joka, dubu, chui na simba we unaleta habari za paka! Wapi biblia imemtaja paka kwenye habari za mwanamke kahaba? Bora hata ungeleta habari za mpanda farasi mwenye kikombe cha mvinyo
 
Katoliki mimi
Ila huyo papa ni anaongozwa na 👹🤘🏻.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…