Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Wadau nimeota ndoto. Ni kama tarehe 1 nov hivi ambapo zoezi la kuhesabu kura za urais linaelekea kukamilika. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa Dr Slaa anaongoza kwa kura kwa %85 hivi. Nchi nzima imeshikwa ganzi kwa yanayoendelea. Ukimya umetawala kila kona huku wana wa nchi wakitafakari hili. NEC wanasita kutoa matokeo na ccm wapo kimya mno! Tupo na Dr. Slaa sehemu fulani akiwa na wapambe wake tunampa moyo na matumaini mapya. Hatimaye Kikwete anatoa kitabu fulani kidogo hivi ambacho Slaa anatakiwa kusaini tayari kwa taratibu za kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu 2010! Oh Lord, grant my dear dream a potential reality, AMEN!

ndoto za Ali Nacha, kuota bila kulala
ndoto nzuri, lakini lakini mtu kama malaria sugu hapendi kuona meli ya dr slaa ikielea
yuko kifungoni huyo. I wish angekuwepo
Mungu wetu tunayemwamini sn anasema, hafanyi jambo bila ya kuwaambia watu wake anao wapenda, ndoto yako inawezekana kabisa ndiyo majibu yenyewe, nani alijua mandela angeachiwa kirahisi vile, nani alijua Abacha wa Nigeria angeondoka nchi ikatengamaa mpaka ss wanachaguana kwa amani? nani alijua Savimbi angeondoka nchi itulie leo Angola wanachaguana kwa demokrasia na vigeregere tele? Nawaambia sauti na majiu ya Mungu yanakuja kwa sauti ndogo sana na yakudharauliwa na wengi hasa Mafis adi wanaodhani wako salama kumbe ndipo uchungu uwazukiapo, AZ ataihamaba Tbr na kurudi Irn kwao kwa kuhofia uingizwa kwenye mkumbo na Sokoine wa 2011 na wahujumu uchumi watajiju.mpaka huu uchaguzi upite, nitakuwa nimeongeza siku kadhaa za kuishi kwa kucheka na jf
Nenda shule.
Kwani ukilala ndo unaota au mpaka mpaka usinzie? Mbona mi nimelala hapa na sioti?
Nenda shule.
Kwani ukilala ndo unaota au mpaka mpaka usinzie? Mbona mi nimelala hapa na sioti?
Hahahaaa..Broda...I wish ungeendelea kulala utuambie Baraza lake la Mawaziri, na jinsi atakavyoshughulikia UFISADI!...Huh!
asante nawe ubarikiwe piaMungu wetu tunayemwamini sn anasema, hafanyi jambo bila ya kuwaambia watu wake anao wapenda, ndoto yako inawezekana kabisa ndiyo majibu yenyewe, nani alijua mandela angeachiwa kirahisi vile, nani alijua Abacha wa Nigeria angeondoka nchi ikatengamaa mpaka ss wanachaguana kwa amani? nani alijua Savimbi angeondoka nchi itulie leo Angola wanachaguana kwa demokrasia na vigeregere tele? Nawaambia sauti na majiu ya Mungu yanakuja kwa sauti ndogo sana na yakudharauliwa na wengi hasa Mafis adi wanaodhani wako salama kumbe ndipo uchungu uwazukiapo, AZ ataihamaba Tbr na kurudi Irn kwao kwa kuhofia uingizwa kwenye mkumbo na Sokoine wa 2011 na wahujumu uchumi watajiju.
Mungu Ibariki ndoto ya Ndugu yetu ifanikishe kwa ajili ya Taifa lako linalokaliwa na watu wenye nia na roho yakuongozwa na amir eshi ya majeshi yasionekana kwa macho akidhani anaweza sn kumbe anajitafutia to shutuped by the New coming Govt coming from the hand of the Living God.
Mbarikiwe
HAHAHAHA... NAKUSHAURI UAMKE!! FASTER .... :becky::becky::becky:!! kwani taswira halisi SLAA hana chake!