Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Ulikuwa kifungoni
Alf huyo jini mahaba alikuja usiku kufanya mapenzi na wewe

Kuna sk kabla ile mtu anaota
hizo ndoto kwamba anafanya mapenz ndotoni
Sasa niliona live akiwa anaandaa mazingira ya kunichezea
Ah anaanza kuingia kitandani kwanza oyaa eh ukiomba ukutane nalo kabla halijaanza hulal
Nani aendelee kulala eh
Nilishtuka kwanza sikutaka nilione cha 2 limtu linavuta shuka
Eh nani abak kuvumilia
Hatar

Nikusali tu
 
Hiyo sio ndoto
Nafsi ilichukuliwa kwenye ulimwengu wa kiroho na humo huwa unafeel vitu kiukwelii
 
 

Attachments

  • C3A7D2CE-E777-4CFB-93CD-55AE7F4D9F66.jpeg
    53.7 KB · Views: 20
Usijali mkuu ni ubongo ulipata changamoto wakati wa kuhifadhi kumbukumbu wala hamna mambo ya uchawi wala nini. Zingatia usafi,kula kwa kiasi na kujitahidi kupunguza mawazo kabla ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…