Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #61
Mmmmh aiseeee kwanini umewaza hvi mkuuuMkuu hizo ni ndoto tu na hazina maana yoyote......just relax
Tatizo ni kwamba unaonekana upo so desperate kutakuja lazimisha kujua maana yake( BTW wanajimu wa mchongo watabunu tu maana yake)
Na kwakuwa wewe una AMINI haya mambo utaamini tafsiri uliyopewa kuwa ni kweli
Na shida ya Imani ndio hii...... ni kuamini tu
Ipo siku utatafsiri kwamba mama yako ni MCHAWI..... hapo ndio akili itakukaa sawa
Mara nyingi watu huwa wanaingia kwenye imani za kichawi kwa staili hizi hizi.... utajikuta unaishia kwenda kwa waganga kuweka sawa Tafsiri ulizotafsiriwa ili mambo yaende
😂😂😂😂😂😂Kudadek ulipata mfilisiko heavy mkuuuMwaka 2022 Niliota vita za ndege angani, nikafuatilia nikaambiwa ni ishara ya kufilisika. Mimi huwa siamin upuuzi nikapuzilia mbali. Kilichotokea baada ya miezi sita mbele sitakaa niamini. Ila Mungu mwema naanza kurudi ila ile peak nilipokuwa bado
Week n nyingi kwa mwanaume, mm nimejiwekea utaratibu wa kulomba angalau mara moja kwa wiki.We jamaa humu wanakuita genius ngoja nijaribu ushauri wako..
Japo mi ukiona sijaginga siku nyingi basi ni week
Duuuh hatareee hiii mkuuWeek n nyingi kwa mwanaume, mm nimejiwekea utaratibu wa kulomba angalau mara moja kwa wiki.
Fuata ushauri wangu mana next time utachafua boksa
Nawaza hvo staki mazoea nae kabisa nishaanza kumkimbia
Ndo nini hii
😂😂😂😂😂😂Kudadek ulipata mfilisiko heavy mkuuun
Nilijifunza sio kila jambo la kupuuzwa😂😂😂😂😂😂Kudadek ulipata mfilisiko heavy mkuuu
Usijali mkuu kula kwa kiasi usiku tena ikibidi chakula kiwe kidogo sana na matunda kwa kiasi.Mkuu usafi ni 💯 ila hapo kwenye kula labda
Zee la nyeto na gegedo wapi na wapi 🤔Week n nyingi kwa mwanaume, mm nimejiwekea utaratibu wa kulomba angalau mara moja kwa wiki.
Fuata ushauri wangu mana next time utachafua boksa
Sijaoa ndgu ila kula tuu alhamdullilah nakulashekhe umeoa????
kama bado ufanye haraka
kama ushaoa jitahidi kupumguza mawazo
Kina majamaaa humu wanasema et just ndoto just puuzia tuu khaaa pipo kama hazina akili rafiki angu daaahNilijifunza sio kila jambo la kupuuzwa
Usiku nile matunda an nisishibe sioUsijali mkuu kula kwa kiasi usiku tena ikibidi chakula kiwe kidogo sana na matunda kwa kiasi.
Faza una madude hvi..secretarybird mwenzio katokewa na mama supu wewe utatokewa na mama chukuchuku,
Hizo ndoto zina maana
Kwanin wewe na mama muamuke ?
Mmekuta nje Kuna ajali ?
Kwann mama apotee ubaki peke yako ?
Kwann uzungukwe na watu wamevaa pampas?
Mbona umepelekwa makaburini ?
Kwann jimama lenye nyama likukalie na kutaka umle Tena ni makaburini,
Mimi sio mtu wa dini,
Hapo Kuna namna nyota/nguvu /kibali chako kinapotezwa kupitia ukiwa umelala na watu, either mishangaz unayolala nayo ishakuchukulia nyota, ama Kuna jini mahaba linakutaka likuzuie usiwe na nguvu ndani yako,
Makaburini wanakaa wafu, kitu kisichoongea wala kufanya kazi,
Ina maana nguvu/nyota / kibali vikiekwa makaburini ni kwamba wanaziua kama ni pesa hupati, kazi, mke, connection n.k
Kwann uzungukwe na watu waliovaa nguo za kitoto,
Unarudishwa nyuma, au Kuna kitu unapaswa ujifunze ama una kipitia ujifunze utoke hapo uende mbele
Unapofanya sex makaburini, Ina maana utamwaga je huoni shahawa zako ndo zitakuwa kafara yenyewe ? Ili Ibada ya kukufunga itimie lazima watoe kafara,
Kafara yao ni sperm zako,
Kwaherii pua bureini mpka wakati mwingine
Shibe kupitiliza itakuletea changamoto ya upumuaji uwapo usingizini na kukuletea maluweluwe na ndoto mbayaUsiku nile matunda an nisishibe sio
Usiusemee Moyo...Kuwa na adabu mkuu hata ungekua wewe usingemla huyu mma supu...
Ogopa sana vya bure mkuu
Ah nimesema hvy tuu ili apate tiba ya tatizo lake, lkn Mm n nyeto ni nyama na mfupaZee la nyeto na gegedo wapi na wapi 🤔
Achana na watu na masuala ya kula hakuna uhalisia wowote,Faza una madude hvi..
Mbona ulikua kimya mpaka naangamia aiseeee kila siku naota vya ajabu kutwa kuwafata watu PM ili wanielekeze wakati ww upo mtaalam