Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
 
hizi ndoto za ajabu ajabu ndio ndoto naota kila siku,niliwahi kuota ndoto moja tu yenye kueleweka kijijini mwaka 1997 kwamba cinema imekuja kijijini na kweli ikaja siku hiyo,baada ya hapo ni hizi tu za jogoo kuwika akiwa anaongea huku kavaa earphone,mara umeokota hela ziko kwenye mfuko wenye matairi,au jiran kaamua kukutunuku ila sharti mfanyie uwanja wa mpira yaani dah,napuuzaga tu.
 
Mmmmh aiseeee kwanini umewaza hvi mkuuu
Mkuu kabla sijashtuka na kuachana na ujinga wa kiimani za SUPERNATURAL kama
Mungu,Shetani/majini, Uchawi, Roho, life after death nk nilikua MJINGA sana
Yaani kila nikikumbuka enzi zile najiuliza hivi zilikua ni akili zangu hizi au nilikua nimewehuka?

Changamoto moto zangu zote za kimaisha niliamini ni kwasababu za kiimani na suluhisho lake nilikua naona ni shortcut za kiimani zitamaliza... ama kanisani kwa Mungu au kwa wanajimu na wasafisha nyota nk

Toka nilipokuja kubaini kwamba vitu vinakwenda scientifically nikaachana kabisa na huo UJINGA

Hakuna kitu cha maana unaweza kupata kutoka kwenye hizo imani zaidi ya kufanywa mjinga labda uwe mchungaji ule sadaka au uwe mganga ule hela za wateja wako
 
sasa huyo ulie mtag atakusaidia nini kiazi huyo?
 
Mimi akitokewa na mamusapu nampiga shoo bila hiana.
 
Hiyo ni wet dream.
 
Kuna Uzi humu sikumbuki vzr lkn ulikuwa unasema Kuna wachawi walinasa mahali na walikuwa na mvuto wajuba wakapima oil mchana kweupe bila kujari uchawi wao😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…