Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Msiwe mnapiga nyeto kisha mnaingia kulala mtakuja mfie usingizini..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna kaukweli ndani yake....
Nina wasi wasi na wewe ngoja nianze kukufatilia...

Na nikija gundua kitu jua nitakutafuta live live ni heri tukutane live tuzichape ty
 
Sio lazima awe amekabidhiwa uchawi, anaweza akawa ameshawai kuchanjwa akiwa mdogo
 
Donitila naomba nije PM yako kama hutojali mkuu
 
Hahahaha! Pole mkuu, ila kama ni mkristo omba, ni ishara mbaya iyo kiimani.
mkuu naona wewe na donitilia mnaongea as if Mimi sipo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi nafanya maombi kila leo ujue
 
Ndoto yenye tafthiri na tukio la kweli! Jitahid kama mtaani kwako Kuna mambo ya sayansi ya asili hakikisha kabla ya kulala deki chumba chako kwa maji ya chumvi ya mawe baada ya hapo oga maji ya chumvi ya mawe kisha endelea na taratibu zako za kiimani swala la ibada! Ukifanya hivyo asubuh ukionana na mbaya wako lazima atamaindi Sana!
 
mkuu naona wewe na donitilia mnaongea as if Mimi sipo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi nafanya maombi kila leo ujue
Kuomba sio shida, ila ndoto imekuja kukupa taarifa mahali panapo itaji kuwekewa mkazo kwenye maombi ili usiwe unaomba bure bali kwa shabaha.
 
Nasali sana mkuu hata nilivostuka nimesali sana sana sana aiseee
Unasalije?
Hapa napo ni muhimu, kila sala Ina muda wake, mfano; wakati wa kula utasali Sala ya chakula...

Ila sasa unatakiwa uombe kwa kumaanisha Rohoni...

Omba Toba na Rehema kwa kusoma Kila siku Zaburi 51

Unaomba hivi...
Ee Mungu unirehemu mimi na uovu ambao umetendwa ndani ya ukoo wa mama yangu, unioshe kwa damu ya YESU unitenge na agano la uchawi lililopo kwa mama yangu na maagano mengine yote niliyounganishwa nayo...

NB: Uovu unapatilizwa mpaka kizazi na kizazi...Biblia inasema, hivyo watu wengi huteswa na mabaya yaliyofanywa na familia zao
 
Simple tu ikohiv utaretewa mtoto wa nje sihutaki kujituma subiri uone.bongo hakuna family plan
 
Niwie radhi sana mkuu wangu ndio naiona mada sasa.. Kuhusu pm nasema kweli ya Mungu haijanifikia..nitumie tena kama hutajaliπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Niwie radhi sana mkuu wangu ndio naiona mada sasa.. Kuhusu pm nasema kweli ya Mungu haijanifikia..nitumie tena kama hutajaliπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Sawa mkuu nafanya hivyo
 
Kwanza ncheke 🀣🀣🀣😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…