Nimeota ndoto ya ajabu!

Ni kweli mkuu! Nina interest kubwa sana kwenye hiyo sekta.

Ni kwamba hiyo interest imeingia hadi ndani kabisa ya your subconscious mind.

Hapo intelligence, universal mind, the source inakuambia uwekeze zaidi huko kimikakati, kwa utafiti zaidi.
 
Ni kwamba hiyo interest imeingia hadi ndani kabisa ya your subconscious mind.

Hapo intelligence, universal mind, the source inakuambia uwekeze zaidi huko kimikakati, kwa utafiti zaidi.
🙏🙏🙏
 
Kwa kuwa Mungu Yupo upande wangu hakuna atakayekuwa juu yangu!
 
Astra projection siyo kwamba mtu anakusudia kufanya hivyo?

Mimi sikukusidia, na sikuwa ninafahamu nililokuwa nikienda, japo nilikuwa na shauku ya kuona mwisho wake.
Ulikua unahisi kama vile unajiendesha ama ilikua inaenda tu yenyewe?
 
soma mambo flan ya ASTRAL PROJECTION utaelewa...
 
Zinanitokea Mara nyingi ndoto za Aina hii.. I just take them dreams..
 
Pole ungeendelea kwenda ilikua ndo unadedi mkuu, umeshasikia watu wanekufa usingizini?
 
At last it was late enough to retire. The old man trundled his wheelchair to the side of the hard, hard bed and climbed in. With a sigh of relief he settled back. “Now for freedom,” he thought, “freedom to wander at will throughout the world by astral travel.”

For some moments he rested, lost in thought,

then, the night's journey decided upon, he relaxed for the preparatory stages.

Soon there came the familiar slight jerk, almost a start as if one had been frightened, and with the slight jerk the astral body shook free from the physical. Shook free and drifted upwards, higher and higher.
 
Kwenye kuamka ilikuwa kama vile mtu aliyekamatwa na "jinamizi", lakini niliishinda hiyo hali na hatimaye nikaamka.

Nimejaribu kuitafakari hiyo ndoto lakini mpaka sasa sijapata mwanga!
Hahaha Mzee nikuambie kitu Mimi nimeota km wewe Mimi kuna utofauti mkubwa sana na wewe I think ni kazi ya Ubongo, nimeota kuna Mimi nilielala halafu kuna Mimi mwingine ambae yupo macho huku Porini nilipo kipindi hiki ni kuna baridi hatari sana sasa huyu Mimi nilielala nikawa namuona Mimi mwingine akiwa anakagua madirisha km yamefungwa vizuri ndio memory zikaanza kurudi kwamba nakaguaje madirisha wakati yote nilishapiga lock isipokua dirisha moja tu ndio mwili ukaamuru macho yafumbuke ili kusudi nimuone huyo MIMI mwingine nafungua pazia simuoni Mimi mwingine nikasogea kwenye dirisha ambalo memory iliniambia sikupiga lock kuangalia kweli sikupiga lock nikalock baada ya hapo usingizi hauji tena nahisi yule Mimi mwingine bado yupo around mpaka nilale tena ndio arudi kwenye mwili maana memory inaniambia km yupo nje huko anapigwa na baridi maana anapenda sana kuzurula mwili umebakia hauna mtu hapa huyu jamaa mwenye huu mwili anapenda kutokatoka sana kwenye mwili wake

-Grandma Take Me Home (GTMH)
 
In the astral we can travel at any speed we will. ‘

We will’ is a deliberate pair of words, because we actually ‘will’ the speed at which we travel, the height and the route.

If, for example, we want to enjoy the wondrous scenery of the astral world with its verdant pastures and its lushly stocked lakes, we can drift as light as thistledown just above the land, just above the water, or we can rise higher and soar over the astral mountain tops.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…