The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ukweli mimi sio muota ndoto maarufu sana wala sio mbashiri ila usiku wa leo nimeota kumetokea mtafaruku mkubwa sana, uliosababishwa na mtu aliyechangiwa gari na wanachama kwa mapenzi ya dhati kabisa kuamua kukaa pembeni.
Zaidi ya hayo nikaona anga lililo juu ya yule ndugu lina moshi rangi ya zambarau, huku akifuatwa na kundi kubwa la wachangiaji, wengine wakitaka kudai chao na wengine wakitamani lile wingu liwafunike
Kabla sijaona kitakachoendelea nikaamka usingizini na kumbe naota ila ule mtafaruku ulinihuzunisha sana