Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

Pointi yako ina holder water,ila hili neno uwanjwa niduo/kupaka mnyama gani?Ulimaanisha kiwanja,uwanja au wanja wa kujipaka jinsia "ke"?Ingawa siku hizi midume nayo inashindana na dada zao kutumia wanja.
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata mshtuko mkubwa nikiwa ndotoni, yaani clearly kabisa nimeona Uganda ikitandikwa 4 bila tena za haraka haraka zile za bandika bandua. Kila la kheri taifa stars na ndoto hii iwe kweli..!
Mhh,nilidhani jambo la maana kumbe inahusu watu wanaofukuza lingozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…