Nimeota robo robo fc atapigwa mkono na al ahly kwenye mechi ya ufunguzi, AFL, October, 5 kwa Mkapa

Algore

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
2,363
Reaction score
3,795
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
Ndoto huwa ni jambo unaloliwaza mara kwa mara. Yaani wewe ni utopolo lakini bado unawaza draw ya michuano ya African Football League ambayo timu yako hata haikuwa na vigezo vya kuwa reserve wa kushiriki? Hadi kabisa unaota na ndoto!
 
WATU KAMA NYIE MNAIDHALILISHA SANA JAMII FORUM.

HATA WATU WA MAANA NA WENYE AKILI WAMEAMUA KUKAA PEMBENI KWASABABU YA WAPUMBAVU WACHACHE.

hili ni Jukwaa la Michezo na si USHABIKI na unazi WA KIPUMBAVU.

UMASIKINI KITU KIBAYA SANA
 
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
 
Al ahyl sio ASAS. WEWE endelea tu kuwafunga hao asas, kmc na jkt huku afl huwezi kutia maguu
 
Reactions: BRN
Wewe ni NUMBU(KIAZI)
Dah NUMBU umenikumbusha mbali, siku hizi hizo kitu hazipatikani. Zamani zilikuwa kwa wingi maeneo ya Kipengele (NJOMBE) na MAKETE. Halafu zilikuwa tamu sana kwa kupiga na chai.
 
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
Mbona husemi na ulivyoota unakojoa..ukakojoa na kulowesha kochi la shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…