Nimeota robo robo fc atapigwa mkono na al ahly kwenye mechi ya ufunguzi, AFL, October, 5 kwa Mkapa

Mbona husemi na ulivyoota unakojoa..ukakojoa na kulowesha kochi la shemeji yako
Za chini chini ni kwamba Robertinho ameomba avunjiwe mkataba kabla ya October, 5. Eti anaogopa kuchafua CV yake.
 
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
 
Ila huu uzi ukisoma comments za wana Simba unacheka mpk kamasi...
Mtoa mada just take it easy...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…