Umeota ukiwa mahindi au njugu mawe?Kwanza kabisa nakiri ya kwamba mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Yanga, sijawahi kuota juu ya tukio lihusulo mpira wa miguu. ila kwa mara yangu ya kwanza niliota kwenye mechi ya Ndanda vs Simba. Niliota simba kafungwa lakini mchezo ulimalizika kwa sare. Jana usiku ilikuwa ni mara yangu ya pili kuota juu ya tukio la mpira wa miguu na safari hii nimeota simba kashinda magoli mawili kwa bila dhidi ya Nkana.
Ni kweli mkuu, simba watashinda rufaa
Ha ha ha..kwahivyo mkuu unakubali Mnyama yuko juu ya Sheria kwa sasa eeeeh!!?Mkuu kutesekea ni sehemu ya maisha. Kuna kipindi cha kutesa na kuteseka, "Kutesa kwa zamu"
Ndio mkuu Kwa upande mmoja. ila kwa upande wa pili bado hawana hali nzuri sana maana Azam na Yanga hadi sasa naona breki zao zime fail kwahiyo wanaseleleka tu, ngoja tuone labda huu mseleleko ipo siku watagonga ukuta wa nyumba au ndio barabara itakuwa imenyooka hakuna bumps, wala kona hadi mwishoHa ha ha..kwahivyo mkuu unakubali Mnyama yuko juu ya Sheria kwa sasa eeeeh!!?
Tena mwendawazimu kibogoyoNdoto ya mwendawazimu
Mkuu, juu ya sheria tena? Mnaenda FIFA tena kutafuta za mezani?Ha ha ha..kwahivyo mkuu unakubali Mnyama yuko juu ya Sheria kwa sasa eeeeh!!?
Ndoto hiyo ipo kinyume chake,Nkana watawakalisha za kutosha tu maana golini mna pazia tuKwanza kabisa nakiri ya kwamba mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Yanga, sijawahi kuota ndoto juu ya tukio lihusulo mpira wa miguu. ila kwa mara yangu ya kwanza niliota ndoto kwenye mechi ya Ndanda vs Simba. Niliota ndoto simba kafungwa lakini mchezo ulimalizika kwa sare. Jana usiku ilikuwa ni mara yangu ya pili kuota ndoto juu ya tukio la mpira wa miguu na safari hii nimeota simba kashinda magoli mawili kwa bila dhidi ya Nkana.