Nimeota Simba kashinda magoli mawili dhidi ya Nkana

Ndoto yako in sahihi kwenye idadi ya Magoli, ila yatafungwa na Nkana red devil's na siyo Mikia fc. Kama unabisha subiri hiyo tar. 15
 
Simba kwa sasa juhudi zetu tumeelekeza kimataifa.
Nyie wa hapahapa endeleeni na mipango ya hapahapa.
Msitutoe kwenye reli yetu, kama kuwarudia tutawarudia tu hakuna shida.
Simba Sports Club LTD, Nguvu ya Radi.
 
Ila Manara kama anaenda mumlinde..Kitwe migodini na wanatumia uchawi wa kikongo
 
Aisee na mimi nimeota timu anayochezea Hassani Kessy itashinda goli 3 kwa bila!
 
Mimi Simba Simba ila kuwafunga Nkana bado hapo ndo mwisho wetu. Tujipange kwa mwakani.
 
Kuna mtu alioiotea Taifa stars itashonda dhidi ya Lesotho.
 
Kadri mnavyozidi kusonga mbele ndoto za alinacha kama hizi haziwezi kukosekana.
 
Mnacheza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…