Utakuwa hujashtukia mchezo. Wanaotafutwa awamu hii ili kuhusishwa na yale mauaji ni CHADEMA, Kanisa Katoliki, AskofuGwajima, wanaharakati akina Mange Kimambi, Maria Sarungi, na wengine.
Kamwe hawataki kuamini ya kwamba chanzo kikuu cha yale machafuko ni kiburi na dharau zao.