Nimeoteshwa dawa ya kutibu kila kitu.!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Waungwana mpo..!
Kwa heshima na taadhima ninasimama mbele yenu ninayo habari njema kwamba nikiwa usingizini usiku huu nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa yote (kama alivyooteshwaga babu wa Loliondo)
Sema tofauti ya hii dawa yangu ni kwamba sio ya kunywa kwa kikombe ila mgonjwa atakunywa ujazo wa jagi moja kwa mkupuo.
Sasa hofu yangu je nijitangaze kama alivyofanya babu na watu wataniamini waje kwa wingi hapa Dom kunywa dawa au hawataamini?
Nasubiri kesho kupambazuke niingie shambani kutafuta huo mti nianze kufanya majaribio kwa wagonjwa ninaowafahamu nikifanikiwa basi naachana na biashara yangu ya majeneza naanza rasmi kuponya watu.
Uzi tayari.
 
ww una stress tu za biashara yako ya majeneza haina wateja, sasa unataka kutengeneza sumu ili watu wafe uuze majeneza. rudi kulala boya ww
 
kupiga bangi na kusinzia unaweza ota Una date na sister ake na Jesus.
 
Endelea kuota na Kesho utaota ukiwa Unabakwa ..

Comment teare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…