Nimeoteshwa juu ya dawa za mapenzi

chamajani

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
552
Reaction score
33
Si masihara bali ni ukweli mtupu, nimeoteshwa kutoa tiba ya kuramba kijiko kimoja tu cha mti unaoitwa mgaagaa kwa ajili ya kutibu matatizo yote yanayohusiana na mapenzi yakiwa pamoja na:- kupata ujasiri wa kutongoza, kwenda round nyingi, kuchelewesha round, kuleta hamu ya tendo la nanihino, mvuto, kupata mchumba, kupata mume/mke, kuachwa kwa wanaotaka, kumpa mpenzio limbwata, kuondoa limbwata-yaani kila kitu;( kijiko kimoja nimeambiwa nitoze gharama ya sh. 999 kwa watanzania na sh. 9999 kwa wasio watanzania) lakini huenda bei ikapanda kutegemea na mahitaji. Just ni-PM
 
Aisee hongera sna ngoja tuanze kupanga foleni mie kwa kwanza nishawahiii:love::love:
 
dah...haya wandugu, ngoja niwahi kabla bei haijapanda...ila sijui tatizo langu ni lipi kati ya hayo ilioyataja..maana kwa maelezo yako kuna ya kujenga mahusiano/mapenzi na kubomoa mapenzi. sasa sijui sijui umeoteshwa na mungu wa mbinguni au wa duniani..haya mkuu twende kazi
 
Think like a Man of ACTION and act like a Man of THOUGHT
 
Mh bora umekuja kivingine, maana ungesema kikombe tu tungekustukia
 
wape vitu ndugu hawakujui nini:help:
 
Watakuja wengi wameripoti tatizo hilo hivi sijui inakuwaje
 
hongera m nataka kupunguza hamu ya ngono inakaaje?
 
Aisee hongera sna ngoja tuanze kupanga foleni mie kwa kwanza nishawahiii:love::love:

Maria roza! ucjal bibie,jiandae kutoa ushuhuda kabla hata ya kunywa kijiko changu maana hii haicheleweshi kutoa desired output.
 

Niliuliza swali kama hilo ktk ndoto,majibu ni kwamba utakavyoielekeza nafsi yako wakati wa kunywa kijiko bac na tatizo linaondoka hivyoivyo. Ndugu zangu mungu ni mwema sana kwa anga la tanzania kwa sasa so msilaze damu plziiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…