Nimeoteshwa kuwa eti anaumwa 'Yuti Yai'

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ndoto ya babu marehemu..ujumbe kupitia mzimu wake! Taarifa ya ndoto maono kuhusu yuti yai ya bulangata❗

Kwamba babu alikuwa na watoto wengine wane... Hawa ni nje ya ndoa kwa mila na tamaduni za kiimani...
Lakini kwa mila na tamaduni zetu za kiasili hakuna mtoto nje ya ndoa... Kwakuwa kitanda hakizai haramu....

Kitanda hakizai haramu kwakuwa ndio pahala rasmi palipokubalika kutafutia watoto...❗

Sasa kama uko kwenye ndoa lakini mkaenda kutafuta mtoto chooni, kwenye makochi, sakafuni ama vichakani huyo mtoto atakuwa haramu...❗❗❗

Mtoto wa nne wa babu... Yaani baba yetu mdogo ni haramu kotekote... Ni haramu kiimani kwakuwa alizaliwa nje ya ndoa...

Halafu ni haramu kwakuwa alizaliwa nje ya nyumba... Mahali pasipokuwa na kitanda... Huko vichakani....

Mimba yake ikawa shida tupu na wakati wa kukaribia kujifungua... ❗
Yule bibi yetu ambaye alikuwa suria wa babu akakimbilia vichakani kuepuka kichapo cha bimkubwa aliyegundua kuwa kaibiwa utamu wake mpaka watu wakavimbishana matumbo....❗

Ni huko alikokimbilia vichakani kujifungua akiwa pekeyake alijifungua mtoto wa kiume lakini kwa bahati mbaya sana wakati mtoto anatoka kichwa chake kikachomwa na mwiba wa mbigili...❗

Bibi alifanikiwa kuuchomoa ule mwiba lakini kumbe uliacha sumu kwenye medulla iliyosababisha yuti yai dume, ngunguri isiyopona....❗
Cheza na vyote lakini sio medulla bulangata... Ikipata shida kidogo tu lazima kila mara kichwa kilipuke...❗
Unaweza kuwa mzuri sana kwenye somo la hisabati na magazijuto lakini ndio hivyo tena.... Sifongo ina yuti yai....❗❕❗❕
 
Nmetoka kapa
 
YUTI YAI , ungonjwa mpya huu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeeleweka mkuu ..ila mbigili itakuwa inawasha sana kichwa ake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana mm sipo
hao mabibi wa kizamani kwenye ndoa hizo huenda hata huyo mtoto si wa Babu yenu, majirani walimpitia Bibi hebu tupate DNA
 
Mshana mm sipo
hao mabibi wa kizamani kwenye ndoa hizo huenda hata huyo mtoto si wa Babu yenu, majirani walimpitia Bibi hebu tupate DNA
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…