Nimeoteshwa Simba wamekula tano nyingine

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Mbumbumbu fc leo wanaenda kulitumbukiza taifa kwenye aibu nyingine kama ilivyo kawaida yao kulipaka tope taifa.

Kama ilivyokua kwa manabii na wafalme mbalimbali enzi hizo wakionyeshwa matukio ya neema au majanga kwa kupitia ndoto na mimi vivyo hivyo leo ucku mida ya saa tisa ndio nilionyeshwa maono hayo ya neema kwa wacongo.

Mikia jishikeni zisizidi 5 sitaki ndoto yangu iwe ya uwongo na jamvi langu lipasuke.

Hazard prediction tips:

Correct score mazembe win 5 to nill

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati ya michango, iko Dar, leo mkachangie, la sivyo kila mwaka, mtaendelea kuombea Simba ivanye vibaya, na Tayari Wanapata B.3 mtawaona kweli.

Yanga mnachangisha lengo mpate Tsh B 1.5 msajilie, mishahara mtawalipa kwa makohozi yenu, alafu mnajipa moyo eti timu ya wananchi, si bora muanzishe Yanga sakosi.
kila la heri TP Englebert Mazembe

You are right!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba 1,mazembe 0,tuone hiyo ndoto yako ya mchana
Mbumbumbu fc leo wanaenda kulitumbukiza taifa kwenye aibu nyingine kama ilivyo kawaida yao kulipaka tope taifa.

Kama ilivyokua kwa manabii na wafalme mbalimbali enzi hizo wakionyeshwa matukio ya neema au majanga kwa kupitia ndoto na mimi vivyo hivyo leo ucku mida ya saa tisa ndio nilionyeshwa maono hayo ya neema kwa wacongo.

Mikia jishikeni zisizidi 5 sitaki ndoto yangu iwe ya uwongo na jamvi langu lipasuke.

Hazard prediction tips:

Correct score mazembe win 5 to nill

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbumbumbu fc leo wanaenda kulitumbukiza taifa kwenye aibu nyingine kama ilivyo kawaida yao kulipaka tope taifa.

Kama ilivyokua kwa manabii na wafalme mbalimbali enzi hizo wakionyeshwa matukio ya neema au majanga kwa kupitia ndoto na mimi vivyo hivyo leo ucku mida ya saa tisa ndio nilionyeshwa maono hayo ya neema kwa wacongo.

Mikia jishikeni zisizidi 5 sitaki ndoto yangu iwe ya uwongo na jamvi langu lipasuke.

Hazard prediction tips:

Correct score mazembe win 5 to nill

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulikula maharagwe ya waapi mkuu hayo mpaka ukaota hivyo
 
Back
Top Bottom