Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kumbu kumbu za mpira zinawekwa kwa mambo yaliyotokea tu, kinyume chake watu wangekula hela za kubeti kila siku.Leo mi nasambaza link hii ili mbumbumbu fc waangalie nafasi yao ya kushinda ugenini. Waangalie mechi za home kwa mashindano hayo.
Congo DR - Tout Puissant Mazembe - Results and fixtures - Soccerway
Congo DR - Tout Puissant Mazembe - Results and fixtures - Soccerwayus.soccerway.com
You are right!Kamati ya michango, iko Dar, leo mkachangie, la sivyo kila mwaka, mtaendelea kuombea Simba ivanye vibaya, na Tayari Wanapata B.3 mtawaona kweli.
Yanga mnachangisha lengo mpate Tsh B 1.5 msajilie, mishahara mtawalipa kwa makohozi yenu, alafu mnajipa moyo eti timu ya wananchi, si bora muanzishe Yanga sakosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kujifariji sio kuzuri kwa afya yako mkuu.Kumbu kumbu za mpira zinawekwa kwa mambo yaliyotokea tu, kinyume chake watu wangekula hela za kubeti kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unataka kuwapa raia kesi ya mauaji tulia ujifie kivyako we chura 🐸🐸🐸Simba akishinda mnipige kidogo kidogo mpaka nife
Mbumbumbu fc leo wanaenda kulitumbukiza taifa kwenye aibu nyingine kama ilivyo kawaida yao kulipaka tope taifa.
Kama ilivyokua kwa manabii na wafalme mbalimbali enzi hizo wakionyeshwa matukio ya neema au majanga kwa kupitia ndoto na mimi vivyo hivyo leo ucku mida ya saa tisa ndio nilionyeshwa maono hayo ya neema kwa wacongo.
Mikia jishikeni zisizidi 5 sitaki ndoto yangu iwe ya uwongo na jamvi langu lipasuke.
Hazard prediction tips:
Correct score mazembe win 5 to nill

hahahaha