Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
This is the only way ya kutoa mfupa kooni, pole sana. Hamia ukerewe ujifunze jinsi ya kula samaki, mfupa hutakaa ukukwame tena
Hahaha,we Ram Ukerewe huko sitaki hata kupasikia aisee.
Uchawi nje nje,kuna watu walikuwa wanapotea hovyo mpaka leo hawajulikani wapo wapi.
Bora Sumbawanga kuliko Ukerewe kwa juju.
Umeona eeh! Ukerewe ni mwisho wa maneno, mamba mchana saa saba anakuibukia anafanya yake then anaondoka
Ukikabwa na mfupa wa samaki.........unawezaje kupata nguvu ya kupost JF.........?.........
Ushauri wa tonge kubwa kavu la ugali ni sahihi. Hata mini nilishaponea hili.
Hilo ni suala la kushughulikiwa na mtaalamu wa ENT. Usikubali ushauri wa wasio wataalamu. Nenda hospital yoyote jirani watakushauri.