Ndio uzuri wa kuwa NYUMBU nyati hawezi kukusumbuawakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari ghafla nilivamiwa na nyati hatari ikabidi mapambano yaanze nyati ni mziki hatari sana lakini kwa kutumia ujuzi wangu wa judo,karate,na kungfu niliweza kumdhibiti nyati akatoka nduki uku akitoka damu puani,nilibadili tairi na kuendelea na safari
Mkuu hujaacha fix[emoji35] ,wanaokujua watanielewa namaanisha nini,wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari ghafla nilivamiwa na nyati hatari ikabidi mapambano yaanze nyati ni mziki hatari sana lakini kwa kutumia ujuzi wangu wa judo,karate,na kungfu niliweza kumdhibiti nyati akatoka nduki uku akitoka damu puani,nilibadili tairi na kuendelea na safari
Matatizo ya kula viroba bila kula,Hivi huyo nyati alikua na smartphone aina gani? Maana ile juzi ulituletea fix za kukutana na jini akiwa na smartphone garaxyMkuu hujaacha fix[emoji35] ,wanaokujua watanielewa namaanisha nini,