sio nyati ni kamnyama kanakoitwa FUNGO !wakuu jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale mikumi, nilikua mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu nilishinda fight na nyati akatimua mbio