Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Ngojea muhusika wa kujamba ovyo kwenye daladala aje huku tumuhoji vizuri.Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Yaani katukomesha zaidi ya masaa mawili na foleni hiiHahhahaha pole mkuu
Na usikute yupo humuNgojea muhusika wa kujamba ovyo kwenye daladala aje huku tumuhoji vizuri.
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Kweli hii inaweza kuwa fursaShuzi la huyo mtu litumie kama fursa likupe hasira ununue gari yako.
Asante[emoji23]
Sasa ukitaka huo ushuzi, aujambie wapi? Si uvumilie tu kwani wewe huwa hujijambii mwenyewe ukilala?Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Aisee huyu kala mayai vizaSasa ukitaka huo ushuzi, aujambie wapi? Si uvumilie tu kwani wewe huwa hujijambii mwenyewe ukilala?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni daladala ya nyuki-kivukoni Mida ya saa nne . Namjua
Haaaaa...Huyo mavi ypo jirani
Kwapa la mtu linatema we unajua kajamba angalia vizuri walio shika chuma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jiji la BashiteHawachi wew wa mkoa/jiji gani?!?