Wakati wa kupanda mahindi yanahitaji phosphorus kwaajili ya kustawisha mizizi, sasa kama wamepandia Urea fanya hivi mahindi yakiota;Habari zenu wana jukwaa la kilimo.
Nina shamba ninafanya kilimo cha mahindi. Nimenunua mbolea ya kupandia lakini muuzaji alichanganya akawapa vibarua UREA badala ya mbolea ya kupandia.
Naomba kujua hatua za kuchukua baada mkanganyiko huu kwani vibarua wameshapanda kwa kutumia UREA.
Hiyo ndo booster yenyeweWakati wa kupanda mahindi yanahitaji phosphorus kwaajili ya kustawisha mizizi, sasa kama wamepandia Urea fanya hivi mahindi yakiota;
- tafuta mbolea/booster isiyo na kirutubisho Cha Nitrogen ambayo tayari inapatkana Kwa wingi kwenye urea,
- Tumia booster ya amcofert(0-30-40), mpaka mahindi yafike wiki sita(kimo Cha magoti)
Asante sana mkuu kwa msaada wako,nilikuwa nawasiwasi kama mahindi yataota ama la.Hiyo ndo booster yenyeweView attachment 2788830
Mimea kutokuwa na afya iliyokusudiwa ndo madhara yenyewe mkuuSidhani kama kuna madhara yoyote yataikuta mimea sema mbolea haitafanya kazi iliokusudiwa na mimea haita kuwa na afya uliokusudia
Subiria mahindi yatoke kwanza,muda gani umepita toka mmependa na matokeo yakoje katika utokaji.Habari zenu wana jukwaa la kilimo.