Kuna ndugu yangu alishawahi kuandaa fumanizi, bahati nzuri alifanikiwa kuwafumania.
Ila bahati mbaya ilikuwa hivi...!
Alikuta wanaume watatu gheto! kilichotokea, wale wawili (walikuwa wababe kimuonekano hadi matendo ) walimuweka chini ya ulinzi ndugu yangu, akiwa anashuhudia mechi kali ikipigwa kati ya mke wake na yule mwanaume wa tatu, sasa baada ya mechi kisha, ikawa zamu ya mke( nae akiwa chini ya ulinzi mkali wa yule mwanaume aliyempiga mechi) kushuhudia mechi kati ya mumewe na wale wanaume wawili, halafu mwisho waliwafungia humo humo ndani, wao wakaondoka, hadi walipokuja kupewa msaada na majirani.
Nakushauri, tembea na KY mfukoni, kwenye mapambano kuna kupigwa na kupiga.