Nimepanga nijenge within existing building lakini naona mkwamo

Nimepanga nijenge within existing building lakini naona mkwamo

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Ni katika harakati za kujenga nyumba ya ndoto tangu.

Iko hivi....nina kipato cha kawaida sana. Nikeshajenga nyumba ambayo ni sehemu ya nyumba kubwa. Nyumba tarajali ina floor moja. Kwa sasa naishi kwenye sehemu ya jingo existing building

Naiota kila uchao. Katika ujenz ulioisha nilikiwa nikipata 6 mil naiweka katika mradi huu. Hadi nimekamilisha japo ujenzi hauishi lkn madam naishi kwangu. Namshukuru mungu.

Katika ujenz huu bado sijakamilisha kwa 100% hadi pale nyumba 3 sitting study room vitakapokuwa vimesimama. Nyumba ina ukubwa wakawaida ndio maana hainitishi.

Mkwako upo hivi.... nilidhani nilivyohamia kwangu mambo yatakimbia lkn ni kinyune chake..

Sitataka inikute nimestaafu. Niingeze pesa ya kustaafia? Au niache kizaz kikihangaika kumalizia jingo.

Wakuu huu ndio mtihani kwangu
 
Ni katika harakati za kujenga nyumba ya ndoto tangu.

Iko hivi....nina kipato cha kawaida sana. Nikeshajenga nyumba ambayo ni sehemu ya nyumba kubwa. Nyumba tarajali ina floor moja. Kwa sasa naishi kwenye sehemu ya jingo existing building...
aisee ngumu kukuelewa
 
Nyumba ya gorofa ya ain gani?
Mkuu aina niliyochagua ni floor moja. Kwamaana underground.

Sina uelewa wa aina. Ni nyumba ya chini na juu baaas
Screenshot_20240309_201758_Chrome.jpg


Nimekuja wanuzi nipate abc


Picha hii ni ya ku Google ni mfano tu.
 
Mkuu aina niliyochagua ni floor moja. Kwamaana underground.

Sina uelewa wa aina. Ni nyumba ya chini na juu baaas

Nimekuja wanuzi nipate abc
Makadirio sasa ya awali lazima utajua gharama zote kama ulitumia mtaalamu.
 
Back
Top Bottom