Hasson Da Melles
Member
- Aug 11, 2012
- 76
- 3
Aiseee baba yangu huyo baba yaako kaishia langapi??? Ili 2kushauri vizuri
Heh Baba anatengeneza bifu kweli pole zinakuhusu kaka, ongea nae mtaelewana tu!
Huyo Baba yako kama alikuwa ana mpango wa wewe kusoma Mweka kwa nini asingekuambia mapema?Lakini bado una nafasi ya kujadiliana nae, mtaka cha uvunguni ndugu yangu....!Angalia Chuo kisikukosanishe na Baba yako,mkae muongee, kama unaipenda hiyo kozi ya SAUT endelea kumshawishi.Kila la kheri
wewe ipycalypse baba yako nae si alikuchagulia kombi ulivyokuwa advance!Heh Baba anatengeneza bifu kweli pole zinakuhusu kaka, ongea nae mtaelewana tu!
Ni Kutokana Na Bifu ambalo Baba yangu Mzazi amelitengeneza Tangu askie kuwa Nimepangiwa Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania
anadai Niachane Nayo eti Niombe Mweka Mwakani....je Sikuoneana tu Huku!!!
mh..kaka jua kwamba atakaye soma sio baba ni wewe!! lakin jiulize umependa program uliyopangwa? kama umepende na uliapply loan nenda kasome! ni vyema kumskiza baba lakin ni vyema zaid kuuskiza MOYO WAKO hasa kwenye maswala kama haya ambayo yatakua na impact kubwa sana kwenye future yako! binafsi nimechaguliwa sua lakin ni wachache sana walioniunga mkono katika uchaguz wangu wa sua,ila mimi hainipi tabu maana ntakae soma si wao bali ni mimi!Ni Kutokana Na Bifu ambalo Baba yangu Mzazi amelitengeneza Tangu askie kuwa Nimepangiwa Bachelor of Arts in

siwezi kukupinga..ila umejiuliza ni kwanini kaja humu jf kuomba msaada..nadhan hata kama usingeandika kitu usingepungukiwa kitu..mshauri kama huwezi kausha..,kashfa na akumdhihaki mtu katika hali hii hufanywa na watu wasio na akili timamu...dogo unatafuta umaarufu kwa bidii khaaaa!! Unataka ufike saut huku celeb tayari? Maana tangu uchaguliwe we ni daily unapost khs your selection humu ndani!! Ungepata princeton si ndo tungekoma?
Sasa mzee wako si ni family issue why don‘t you solve it hukohuko au ongea na family members na ndugu wakusaidie kusolve?
Hapo ni saut, je ungekua unaenda harvard au yale au any ivy league si ndo ungejionesha kwenye tv na kwa shigongo kabisa?
wewe ipycalypse baba yako nae si alikuchagulia kombi ulivyokuwa advance!
hahahahahahaha....ajuaye mungu...tuwe na imani kwan huo ndo wajib wetu...LORDVILLE leo umekunywa kinywaji gani? Mbona unashuka point sana? Au ulilala na nani usiku wa kuamkia leo? Je umepigia mswaki maji ya dukani? Au dawa ya meno ilikua na virutubisho gani? Duh endelea hivyo hivyo Sua watakupa kacheo hata kau-CR. Ha ha ha ha ha ha hah. Big up jibaba. . . . .