Nimepangiwa Chuo Ila Kunadalili Za Kutosoma!!!

Dogo ana mikosi mingi sana kwanza alianza na kupangiwa bachelor of engineering na makorokocho wakati amesoma arts sasa amekuja na hili la mzee mkubwa khaaa!!!...inabidi uairishe mwaka msikilize dingi tu kabla mikosi haijaendelea..
je hiyo ndo solution??? na kwanini amskize dingi?? asipomskiza itatokea nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…