Nimepangiwa kusoma HGL mimi nataka CBG, Nifanyeje?

Nimepangiwa kusoma HGL mimi nataka CBG, Nifanyeje?

Allencharles17

New Member
Joined
May 30, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Jaman nisaidieni kimawazo hapa mm nimefaulu kwenda advance lakin nimepangwa kwenye kombi ya HGL na mm sitaki kusoma HGL nataka nisome CBG na nimefaulu hesabu kwa grade "c" na komb ya CBG imebalansi kabisa.

Sijui nifanyaje hata naombeni ushauri wenu tafadhali
 
Kama hiyo shule kuna CBG unaweza kubadilishia hapo! Lakini kama hakuna itakuwa ngumu kubadili shule! Hata hivyo kupata Hesabu "C" kunatia ukakasi kwenye tahasusi isiyohitaji hesabu!
 
Hiyo shule unayoenda haina CBG?? Unaweza kuhama kozi kama ipo kwa hiyo shule uliyochaguliwa au unaweza kuhama shule ukaenda shule nyingine then ubadilishe kozi as long umefikisha points zinazohitajika, sijajuwa kwa sasa kama pia inawezekana kuhama shule au kozi jaribu kufatiia hilo
 
Humu kuna tutoto jamani khaaa
Mwambie mzazi/mlezi akuhamishe chaap
 
Back
Top Bottom