Hiyo shule unayoenda haina CBG?? Unaweza kuhama kozi kama ipo kwa hiyo shule uliyochaguliwa au unaweza kuhama shule ukaenda shule nyingine then ubadilishe kozi as long umefikisha points zinazohitajika, sijajuwa kwa sasa kama pia inawezekana kuhama shule au kozi jaribu kufatiia hilo