Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
Hebu eleza vizuri maana Serengeti ni kubwa umepangiwa kituo gani?.Karibu sana mwanaJF mwenzangu usihofu mimi ni mwenyeji sana huko kila kona ya wilaya hiyo nitakuzungusha ila kwa sasa niko safarini nchini Kenya nitarudi huko baada ya wiki chache utakuwa huko baada ya muda gani?
kituo bado sijakijua lakini nitakuwepo huko kuanzia tarehe 2 mwezi wa pili
Duh!haki ya Mungu!kule ni pori ajabu,hakuna mitandao ya cm wala nn,usafiri ndo usiseme,shida sana!mfano hakuna gari ya kuaminika ya mwanza,musoma hata Arusha!nenda tu lakini japo nakuonea huruma!ukifika Arusha nitafute,nikupatie gari la watalii au jiandae kupanda kimotco!uko wapi kwanza?
kwa wale tulio pangwa serengeti mara mi mmoja wao tuwasiliane hapa. na yeyote mwenye kuijua vyema atusaidi ili tuende tukiwa na (prior information) na je ni kweli kuwa kuna maeneo wanyama hatari wanavamia makazi?
Duh!haki ya Mungu!kule ni pori ajabu,hakuna mitandao ya cm wala nn,usafiri ndo usiseme,shida sana!mfano hakuna gari ya kuaminika ya mwanza,musoma hata Arusha!nenda tu lakini japo nakuonea huruma!ukifika Arusha nitafute,nikupatie gari la watalii au jiandae kupanda kimotco!uko wapi kwanza?
Dadangu pia amepangiwa huko serengeti, mpaka sasa 2namshawish aende, 2kifanikiwa basi utakua nae huko acha dhambi.