Nimepangwa Songea vijijini. Tubadilishane.

Nimepangwa Songea vijijini. Tubadilishane.

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Jamani mwenzenu nimepangwa Songea (V). Kwa aliyepangwa Iringa (V) na hana interest napo tubadilishane wakuu coz nimepazoea sn kwa sasa. Msaada kwa hl pls!!!
 
Umepangwa tu basi. Hakuna maelezo ya ziada? Umepangwa nini?
 
Kijiji gani? Kama hutaki hiyo kazi acha watu tunataka kazi we unazingua
 
nenda bana ukifika omba wakupange likuyufusi, kitimoto buku 2 kilo
 
Omba usipangwe matimila sec au mhukulu. ni kubaya mno ila shule zingine kuzuri. Mimi mwenyewe nilikuwa darajambili sek.
Kwa sasa niko mbunga sek-namtumbo
 
Jamani mwenzenu nimepangwa Songea (V). Kwa aliyepangwa Iringa (V) na hana interest napo tubadilishane wakuu coz nimepazoea sn kwa sasa. Msaada kwa hl pls!!!
never mind guy!maisha ni popote !work harder!
 
Back
Top Bottom