Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Kama kchwa cha habar kinavyoeleza mimi n mwanafunz nilyemalza kidato cha nne mwaka jana na kupata 3 ya 25 je naweza chagulwa kidato cha tano au vyuo vya tek?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kchwa cha habar kinavyoeleza mimi n mwanafunz nilyemalza kidato cha nne mwaka jana na kupata 3 ya 25 je naweza chagulwa kidato cha tano au vyuo vya tek?
Matokeo yangu n haya "engl b,kisw b,math b+,chem c,geo c,phy d,bio c, civ e, hst d. Na nilianza na egm.
Dogo, kaa na Wazazi/Walezi wako na uongee nao kama ni waelewa wa mambo haya. Kwa ushauri wangu, wa moyoni kabisa, potezea High School. Nenda Tech. - DIT, MIST, n.k., nk., au Vyuo vya Afya/Tiba kwa Kozi za CO, n.k. n.k!
High School za kwetu siku hizi michosho mitupu!
bro me nilianza na tek hapo mist ila nawasiwasi kama naweza chaguliwa.
ushauri mzuri mkuuDogo, kaa na Wazazi/Walezi wako na uongee nao kama ni waelewa wa mambo haya. Kwa ushauri wangu, wa moyoni kabisa, potezea High School. Nenda Tech. - DIT, MIST, n.k., nk., au Vyuo vya Afya/Tiba kwa Kozi za CO, n.k. n.k!
High School za kwetu siku hizi michosho mitupu!
ila mbona hyo chemisty nina c bro? Afu english imenbeba kvp?Ndondocha Hawawezi kukuchagua mana umefeli Chemistry ! Wao wanataka hivi
Physics = A, B+, B, C
Chemistry = A, B+, B, C
Mathematics = A, B+, B, C
Hivyo Selikali haiwezi kukulipia mkopo !
Hivyo basi kama kweli ulikuwa na nia !
Nenda ka apply pale ! Utaingia nadhani direct entry mana english imekubeba !
Ila ada ni pesa ndefu kidogo !
Maisha Mtelezo
ila mbona hyo chemisty nina c bro? Afu english imenbeba kvp?
Wajamani je mimi niliepata hii
III 30
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'F' nitapona kweli ndugu zangu,hebu nami mnijuze wadau.