Nimepata 3 ya 25 kidato cha nne mwaka 2013 naweza chaguliwa kidato cha tano?

Ndo hapo cjajua wanachukua mwsho ngap ndo mana nimeleta humu.
 
Matokeo yangu n haya "engl b,kisw b,math b+,chem c,geo c,phy d,bio c, civ e, hst d. Na nilianza na egm.

kmsng ww hauna kpaj cha kusoma,labda jarb ufund viatu,af kama unabsha nenda iyo egm kama aijakupga gem.kusoma pure n kpaj co kufoc fl.
 
private sifa unazo 100% for government 80% unaweza ukapata
kama math ana f awez chaguliwa ppt,cha msng kama n wakiume aanze kupaka poda coz amedhirisha uhewa wake,mwanaume wa ukwel awez pat f ya namba uyu dg n mvz.
 
kmsng ww hauna kpaj cha kusoma,labda jarb ufund viatu,af kama unabsha nenda iyo egm kama aijakupga gem.kusoma pure n kpaj co kufoc fl.

afu we unayejiita jongosh inavyoelekea haujisomi et mana koment zako n kama za mtoto mdogo kwanin unasema kipaj changu c cha kusoma na nikienda egm itankimbza?
 
kama math ana f awez chaguliwa ppt,cha msng kama n wakiume aanze kupaka poda coz amedhirisha uhewa wake,mwanaume wa ukwel awez pat f ya namba uyu dg n mvz.

kwanza aliyeandka hyo status hapo mbona math amefaulu vzur 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…